Top Stories

LIVE: Rais Magufuli anazindua rada mbili

on

Rais Dk. John Magufuli leo anazindua Rada za kuongoza ndege za Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanajaro (KIA). Uzinduzi huo unafanyika katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar es salaam, bonyeza PLAY hapa chini kutazama LIVE.

MELI MPYA INAVYOINGIZWA ZIWANI MBEYA

Soma na hizi

Tupia Comments