AyoTV

VIDEO: “Nimesikia tukio la Polisi kupiga risasi, ngoja niwaambie kitu” – Elibariki Kingu

on

Serikali imetakiwa kutoa kipaumbele cha Bajeti yake katika Jeshi la Wananchi nchini ili kuboresha nidhamu zao katika kazi. Wito huo umetolewa kwenye Bunge la Bajeti Dodoma May 16, 2017 na Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu ambaye amesema amelisikia tukio la Polisi kupiga risasi hewani wakati wa kumkamata aliyekuwa Naibu Waziri wa Fesha, Adam Malima.

UPDATES: Sirro aongea kuhusu Askari aliyefyatua risasi mbele ya Waziri wa zamani 

Soma na hizi

Tupia Comments