AyoTV

Mume mpya wa Flora afunguka

on

Daud Kusekwa ndio jina la Mume mpya wa Mwimbaji wa nyimbo za Injili Madame Flora (zamani Flora Mbasha) ambapo ndoa yao wameifunga mwishoni mwa April 2017.

Baada ya Daud kuona mitandao inavyosema na watu wanavyokosoa muungano mpya wa wawili hao, amekaa kwenye AyoTV na millardayo.com na kuzungumza ya moyoni EXCLUSIVE, bonyeza play kumtazama hapa chini

EXCLUSIVE VIDEO: Flora awajibu wanaosema kamzidi umri Mume mpya na kuhusu kumualika Mume wa zamani kwenye harusi, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA KILA KITU

VIDEO: Flora Mbasha kaolewa tena, tazama harusi ilivyokua Mwanza… bonyeza play hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments