Habari za Mastaa

Soggy Doggy “Kila mtu anataka kuwa Diamond Platnumz” (+video)

on

Mwimbaji staa wa muda mrefu Bongoflevani aliye-hit na ngoma kama ‘Kibanda cha simu’ na nyingine Soggy Doggy amekaa kwenye  OnAIR with MillardAyo na kuongelea ishu zake mbalimbali ambapo ameongelea tofauti ya Bongofleva ya zamani na ya sasa nakueleza kitu ambacho wasanii wa sasa hawana.

Soggy Doggy anakuambia “Wasanii wa sasa hawana uvumilivu yani mtu anaenda studio leol leo anataka beat itengenezwe leo leo, anataka video pia na kwenye redio pia, kila mtu Tanzania anataka kuwa Diamond Platnumz hadi kuongea”

OnAir >>“Nimebadili dini na kuwa Muislamu, jina langu jipya ni ABDULMALIK” – BARAKA THE PRINCE

“Nilimtumia MSG Alikiba kumuomba msamaha, HAKUJIBU” – BARAKA

Soma na hizi

Tupia Comments