Top Stories

Samaki anaepiga shoti kama Umeme Kigoma (+video)

on

Leo October 23, 2018 ndani ya AyoTV na millardayo.com tumekusogezea story toka mkoani Kigoma kuhusu samaki anaepiga shoti kama Umeme.

Samaki huyo anaitwa Nyika na wavuvi wa Ziwa Tanganyika wanasema samaki huyo huchunwa ngozi yake yote kama mbuzi ili uweze kumpika na kumla vizuri AyoTV iliweza kumpata mvuvi mkongwe kutoka mwalo wa Katonga Kigoma ambae aliweza kuzungumza kuhusu samaki huyu.

MO DEWJI atoa kauli baada ya kupumzika toka aachiwe

Soma na hizi

Tupia Comments