Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Amber Ruty na mwenzie wakosa mdhamini, ‘James Delicious’ adhaminiwa
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
August 19, 2022
Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%
August 18, 2022
Ajali ya Basi yaua watano Singida, Polisi azungumza hali ya Majeruhi
August 18, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Amber Ruty na mwenzie wakosa mdhamini, ‘James Delicious’ adhaminiwa
Top Stories

Amber Ruty na mwenzie wakosa mdhamini, ‘James Delicious’ adhaminiwa

November 2, 2018
Share
2 Min Read
SHARE

Mcheza Video, Rutyfiya Abubakary maarufu kama ‘Amber Ruty’ amesomewa makosa mawili ikiwemo kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

Mbali na Amber Ruty washtakiwa wengine ni Said Bakary Mtopali na James Charles maarufu kama ‘James Delicious’.

Kwa pamoja washtakiwa wamesomewa mashtaka yao mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Augustino Rwezire na wakili wa serikali Nassoro Katuga.

Wakili Katuga amedai kuwa kosa la kwanza ni kufanya mapenzi kinyume na maumbile ambalo linamkabili Amber Ruty.

Inadaiwa ametenda kosa hilo kati ama baada ya October 25, 2018 ambapo alimruhusu Said Bakary Mtopali kumuingilia kinyume na maumbile, kosa ambalo amelikana.

Pia kosa jingine la kufanya mapenzi kinyume na maumbile, linamkabili mshtakiwa wa pili Said Bakary Mtopali ambapo anadaiwa kati ama baada ya October 25,2018 jijini Dar es Salaam alifanya mapenzi na Amber Ruty kinyume na maumbile ambapo alisema si kweli.

Kosa la tatu la kuchapisha video ama picha za ngono, ambapo linamkabili James Charles ama James Delicious akidaiwa kati ya October 25,2018 alisambaza video za ngono kupitia magroup ya Whatsapp.

Kosa jingine la nne ni kusababisha kusambaa picha za ngono linamkabili Amber Ruty na Said Abubakary Mtopali ambapo wanadaiwa kati October 25,2018 walisababisha kusambaza picha za ngono kupitia makundi ya Whatsapp. Kosa ambalo wamesema si kweli.

Baada ya kusomewa mashtaka hayo, Wakili Katuga amedai kuwa upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika wanasubiri taarifa za Kitaalamu kuhusu picha hizo za ngono za minato.

Washtakiwa wamepatiwa masharti ya dhamana ya kuwa na wadhamini 2 kila mtu na kusaini bondi ya Shilingi Milioni 15.

Pia wadhamini wawe na vitambulisho vya taifa pamoja na kuwasilisha hati zenu za kusafiria na msitoke nje ya Dar es Salaam bila ruksa.

Hata hivyo mshtakiwa James Delicious aliyefanikiwa kutimiza masharti ya dhamana, huku Amber Ruty na Said Bakary Mtopali wameshindwa kutimiza masharti na kupelekwa gerezani.Kesi imeahirishwa hadi November 12,2018.

Amber Rutty afikishwa Mahakamani, alalamika kuumwa

You Might Also Like

Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake

Ajali ya Basi yaua watano Singida, Polisi azungumza hali ya Majeruhi

Huyu ndiye Rais aliyekataa mshahara wake kwa miezi nane, Ukali wake baada ya meya kununuliwa VX

Utacheka vituko vya RC Makongoro, agusia Uongozi wa JPM, “Sijaambulia kitu, ila Mama kanipa heshima”

Shaka: CCM inafuatilia kwa karibu utekelezaji mkakati wa kuwakwamua vijana

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA November 2, 2018
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Waliosababisha kifo cha shemeji yake Dj Khaled watiwa mbaroni
Next Article Zitto Kabwe aachiwa kwa dhamana
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Diamond ameingia makubaliano ya kudhamini mashindano ya Ndondo Cup
Entertainment August 19, 2022
Kuelekea Sensa Agosti 23, Mbunge wa Jimbo la Ushtu anena hili kwa Wananchi wake
Top Stories August 19, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 19, 2022
Magazeti August 19, 2022
Kiwanda cha Chai Mponde Ujenzi wake umefikia 95%
Mix August 18, 2022

You Might also Like

Mix

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 17, 2022

August 17, 2022
Mix

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 13, 2022

August 13, 2022
MixTop Stories

Mwana FA alivyoungana na Viongozi mbalimbali kuhamasisha Zoezi la Sensa, Masuguru Wilayani Muheza

August 11, 2022
Mix

Bwawa la Mwalimu nyerere sasa kazi ni Usiku na Mchana, ‘kukamilika June 2024’ Waziri Makamba anena

August 9, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?