Top Stories

Agizo la Spika Ndugai kwa Serikali “hili haliwezekani” (+video)

on

Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai ameitaka Serikali kufanya uchunguzi wa vipimo vya ukaguzi wa magari ya mizigo barabarani ili kubaini kama viko sawa kutokana na malalamiko ya mara kwa mara ambayo yamekuwa yakijitokeza kutoka kwa wasafirishaji wa mizigo kwamba zimekuwa vikitoa taarifa zisizofanana na hivyo kusababisha wahusika kupigwa tozo zisizostahili.

NAIBU WAZIRI ADANGANYWA, AAGIZA MHANDISI, MKANDARASI ‘WASUKUMIWE NDANI’

Soma na hizi

Tupia Comments