Habari za Mastaa

Mama Kanumba aangua kilio baada ya Lulu kuhukumiwa na kuongea yafuatayo (+video)

on

Mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” leo amehukumiwa na Mahakama Kuu ya Tanzania kwenda jela miaka miwili kwa kosa la kuua bila kukusudia na kusababisha kifo cha Mwigizaji Steven Kanumba.

Baada ya Hukumu hiyo kutolewa Mama Mzazi wa Marehemu Kanumba aliangua kilio na kuongea yafuatayo >>> “Namshukuru Mwenyenzi Mungu, naishukuru Mahakama imetenda haki, naishukuru Serikali yangu awamu ya tano

Kalale salama mwanangu Steven Kanumba na nikitoka hapa nakwenda makaburini naamini nakwenda kumzika akapumzike kwa amani” – Mama Kanumba

Mtazame Mama Kanumba mwenyewe kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Lulu alivyoingia Mahakamani leo kusikiliza hukumu yake… tazama kwenye hii video hapa chini

IMEFAHAMIKA: HAPA NDIPO ANAPOISHI DR. LUIS SHIKA, MAJIRANI WAONGEA

Soma na hizi

Tupia Comments