Duniani

PICHA 10: Maktaba zilizotajwa kuwa na mvuto zaidi Duniani

on

Najua kuna watu wanapenda kukaa kwenye Maktaba kusoma machapisho, vitabu na majarida mbalimbali, wakati Tanzania Maktaba ya kisasa inayoendelea kujengwa kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tukiisubiri ikamilike siyo vibaya nikikupitisha duniani kutazama Maktaba zenye mvuto zaidi.

1: Maktaba ya Dokk1 – Aarhus, Denmark

2: Maktaba ya Lawrence Public – Marekani

3: Maktaba ya Yangzhou Zhongshuge – China

4: Maktaba ya Beyazit – Uturuki

5: Maktaba ya Vennesla – Norway

6: Maktaba ya Bodø – Norway

7: Maktaba ya Chicago – Marekani

8: Maktaba ya Birmingham – Uingereza

9: Maktaba ya Halifax – Canada

10: Maktaba ya Conarte – Mexico

VIDEO: Wanafunzi Bariadi Sekondari walivyoandamana mwalimu mkuu asihamishwe, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments