Habari za Mastaa

Time ya kumkaribisha tena Mo Music kwenye TV yako.. karudi na hii video mpya-‘Nitazoea’

on

mcTukianza kutaja List ya wasanii wanaofanya vizuri kutoka Mwanza jina la msanii Mo Music lazima liingie yani.

Hit single iliyomuweka kwenye headlines za Bongo Fleva ilikuwa ‘Basi Nenda’.. kuna maswali ambayo watu wengi huwa wanajiuliza, ikitokea staa amehit na single ya kwanza wanajiuliza kama ataweza kurudi na nguvu ya hit kubwa kama ambayo ilimtoa.

Audio ya single ‘Nitazoea’ tayari iko mtaani tunaisikia.. kaamua kutusogezea na video kabisa, video imefanywa na Director Adam Juma na huu ndiyo wakati wa kuicheki mtu wangu.

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenyeTwitter,Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa>>> TwitterInstaFB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribeYouTube kwa kubonyeza hapa>>>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments