AyoTV

VIDEO: Mama Wema Sepetu kuhusu simu ya Steve Nyerere na kuhamia CHADEMA

on

Mama wa Mwigizaji Wema Sepetu ameongea kuhusu yeye na Mtoto wake Wema kukihama Chama cha Mapinduzi (CCM) na kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kila kitu alichozungumza pia kuhusu sauti ya simu iliyosambaa akiongea na Steve Nyerere kiko kwenye hii video hapa chini

FULL VIDEO: Wema Sepetu alivyotangaza kuhamia CHADEMA, bonyeza play hapa chini kusikiliza kila alichosema

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments