AyoTV

VIDEO: Baada ya Diamond na Mafikizolo kutoka nje ya bunge Dodoma leo

on

May 12 2016 kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumz walipata mwaliko wa kuingia Bungeni Dodoma ambapo wakali hawa wapo Dodoma kwa ajili ya kuidondosha burudani Chuo kikuu Dodoma, unaweza kumtazama Diamond hapa chini

ULIIKOSA VIDEO YA SHOW YA DIAMOND LAS VEGAS MAREKANI ILIYOVUNJA REKODI YA WAHUDHURIAJI? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments