Top Stories

RC Mwanri amvaa Mhindi kisa Wafanyakazi “where is mikataba now, bisha uone” (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ametoa wiki moja kwa Mkandarasi AFCONS SMC JV anaetekeleza Mradi wa maji ya Ziwa Victoria katika Wilaya ya Igunga na Nzega kutoa mikataba kwa Wafanyakazi waliokidhi masharti kwa mujibu wa sheria

“Iko wapi mikataba mnazo nakala they say they don’t have mikataba where’s mkataba now hawa Watumishi ni Watanzania wana haki zao” RC Mwanri

RC MWANRI ATAWALA UJIO WA NDEGE MPYA “”CHIKICHII CHIKICHI EEEH, BWIRE SOMA HIYO”

 

Soma na hizi

Tupia Comments