Top Stories

Wanafunzi wa SAUT Mwanza kukosa Mikopo, tamko limetolewa (+video)

on

Huenda umekutana na taarifa kutoka kwa Wanafunzi wa Chuo cha SAUT Mwanza wakidai wamecheleweshwa kupatiwa mikopo yao tangu October 30, mwaka jana, AyoTV na millaradayo.com imempata Afisa Mikopo SAUT kutupa ufafanuzi.

RC Mwanri kambana Injinia site “Usilete njaa, mito inahama kama stuli”

Soma na hizi

Tupia Comments