Premier Bet SwahiliFlix Ad Halotel Ad

Ajali

Picha7: Mnara wa majina ya watu waliozama na meli ya mv Bukoba Bwiru Mwanza.

on

May 21, kila mwaka Tanzania ni kumukumbu ya ajali ya meli ya Mv. Bukoba iliyozama ndani ya ziwa Victoria ikitokea Bukoba mkoa wa Kagera kuja Jijini Mwanza na zaidi ya Watanzania 1,000 walipoteza maisha kwenye ajali hiyo.

Unaambiwa ilibaki mita karibu 25 kufika Mwanza, mwaka huu 2016 imetimiza miaka 20 tangu ajali hiyo itokee mwaka 1996, millardayo.com inakusogezea picha za mnara wenye majina ya watu waliokufa kwenye ajali hiyo uliowekwa kama kumbukumbu eneo la Bwiru Mwanza.

Image00004

Image00001

Juu ya mnara kuna picha ya mfano wa meli ya mv Bukoba

Image00002

Haya ni majina ya Marehemu waliopatikana na kutambuliwa

Image00006

Baadhi ya majina ya Marehemu ambao hawakutambulika au kupatina

Image00005

Image00007

Mnara wa majina ya Marehemu walipoteza maisha, ajali ya mv Bukoba

ULIIKOSA HII YA SHUHUDA WA PANTONI LA KIGAMBONI INJINI ILIVYOZIMA KATIKATI YA MAJI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments