Top Stories

Kamanda azungumzia mgomo wa daladala Mbeya “wanazidiwa spidi na bajaji” (+video)

on

Leo March 18, 2019 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ulrich Matei amezungumzia uwepo wa mgomo wa Madereva wa daladala jijini Mbeya ambapo amesema wamegoma kusafirisha abiria kuanzia asubuhi ya leo wakipinga Bajaji kufanya usafirishaji katika barabara kuu kwa kuwa hali hiyo imekuwa ikiwakosesha mapato.

MGOMO WA DALADALA MBEYA, BAJAJI ZASHIKA HATAMU, NAULI BEI JUU

Soma na hizi

Tupia Comments