Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri kupitia uzinduzi wa upandaji miti awamu ya nne amesikitishwa na baadhi ya Watendaji wanaoshindwa kusimamia majukumu yao na kupelekea zoezi la uhifadhi wa mazingira kukwama.
“Badala ya kuhamasisha wananchi yeye anakuwa sehemu ya kuzuia, Kiongozi asiyesimama katika nafasi yake hatufai, watu wanangoja Mkuu wa Mkoa aje ndio watu waanze kuhangaika pale mimi nitakuwa ni mpana kiasi gani karibu nataka kuota kibiongo” RC Mwanri