Habari za Mastaa

PICHA 24: RC Makonda alivyokutana na Wasanii wa tasnia mbalimbali nchini

on

Mkuu wa Mkoa wa DSM Makonda amekutana na Wasanii mbalimbali hapa nchini wakiwemo wa Bongofleva, Bongo Movie, Waimba Taarab na tasnia zingine na katika kujali na kunusuru kazi za Wasanii amewatafutia mkopo wa Shilingi Bilioni 2 bila riba zitakazotolewa kwenye Halmashauri za Mkoa huo. 

Hizi hapa ni picha kutoka Leaders Club

Soma na hizi

Tupia Comments