Top Stories

Musukuma amvaa CAG, afunguka kauli ya udhaifu wa Bunge, amtaja Spika (+video)

on

Baada ya kusambaa kwa Waraka unaodaiwa kuandikwa na Wabunge 48 akiwemo Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma, Leo January 17, 2019  amefunguka kwenye Exclusive Interview nakusema hakuandaa Waraka huo kuhusu suala la CAG pamoja nakusema kwamba Bunge ni dhaifu.

ZITTO KABWE “UAMUZI WA CAG UMENISIKITISHA SANA, AMESAIDIA KUVUNJA KATIBA”

 

Soma na hizi

Tupia Comments