Top Stories

Dr. Tulia kaibukia tena Mbeya, RC Chalamila hajamuacha peke yake (+video)

on

January 18, 2019 Taasisi ya Tulia Trust kwa kushirikiana na Universal Communications Service Access Fund (UCSAF) wametoa msaada wa computer 50 zenye thamani ya Milioni 100 katika Shule kumi za Sekondari Jijini Mbeya.

Pia Dr. Tulia ametoa  zaidi ya Shilingi Milioni 14 kama zawadi kwa Shule, Walimu na Wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo katika mitihani ya Darasa la Saba na Kidato cha sita mwaka 2018.

RC Mwanri kambana Injinia site “Usilete njaa, mito inahama kama stuli”

Soma na hizi

Tupia Comments