Top Stories

RC Mwanri kambana Injinia site “Usilete njaa, mito inahama kama stuli” (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amewaagiza Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini TARURA Mkoa wa Tabora kuwasilisha michoro na gharama za madaraja ya barabara ya Tura hadi Loya Wilayani Uyui baada kubaini mapungufu ya ujenzi.

“Kama hamku-study mkondo wa maji hili daraja litabaki kama stuli nataka TARURA mniambie hii kitu inakujakujaje, aliyechora michoro ni nani, nataka mniletee michoro yote mikataba mlioingia, nataka nijue kiasi gani cha hela kabidhi Mkoani” RC Mwanri

RPC ‘ALIELIWA KICHWA’ NA LUGOLA HAJAONDOKA, ATANGAZA KUKAMATA FEDHA BANDIA

Soma na hizi

Tupia Comments