Top Stories

Askofu Kakobe “sina hela kuliko Serikali zile ni mbwembwe tu!” (+video)

on

Mwezi December 2018 Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe alitoa kauli kuwa ana fedha nyingi kuliko Serikali jambo ambalo lilizua kizaazaa nakutaiwa kuripoti TRA.

Leo Janauary 24, 2019 akiongea na Televison ya Taifa  Kakobe ametoa ufafanuzi juu ya kauli yake hiyo nakusema alichomaanisha yeye ni utajiri wa kua na tiketi ya kuingia Mbinguni.

Jeshi la zima moto laja na mbinu mpya “hakutakuwa na udanganyifu”

 

Soma na hizi

Tupia Comments