Premier Bet SwahiliFlix Ad Tigo Ad

Top Stories

Naibu Waziri adanganywa, aagiza Mhandisi, Mkandarasi ‘wasukumiwe ndani’ (+video)

on

Naibu Waziri wa Maji na Jumaa Aweso ameamuru kukamatwa na kuwekwa mahabusu Mhandisi wa Maji wa Wilaya ya Monduli Charles Saidea na Mkandarasi kutoka Kampuni ya Meru Constructions Ayo Jeremia kwa tuhuma za kufanya udanganyifu kwenye mradi wa zaidi ya Bilioni 1.

RC MWANRI KIBOKO AIMBA ANAMEREMETA “USICHEKE NA NYANI, LIWALO NA LIWE”

Soma na hizi

Tupia Comments