Top Stories

Rais Uhuru Kenyatta alivyotua Chato Airport (+video)

on

Leo July 5, 2019 Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amewasili nchini na kupokelewa na mwenyeji wake Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli, wilayani Chato, yupo nchini kwa ziara ya siku mbili.

UHURU KENYATTA AZUNGUMZIA MECHI YA STARS NA KENYA

Soma na hizi

Tupia Comments