Top Stories

Alieshindana na Lema na MNEC wafunguka “Wazee wakubali kusahaulika” (+video)

on

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (MNEC) pamoja na aliyegombea Ubunge Jimbo la Arusha Mjini mwaka 2015 Philemon Mollel wamekutana na waandishi wa habari nakutoa tamko kwa wanaomkosoa Rais Magufuli na kusema Viongozi Wastaafu wakubali kusahaulika nakutulia kimya kwani Awamu zao tayari zimeshakwisha.

LEMA “NI HATARI KUSHABIKIA MGOGORO WA CCM, UNASALI UNASHTAKIWA”

Soma na hizi

Tupia Comments