Top Stories

Zitto na wenzake walivyorudi Mahakamani Muswada wa Sheria ya Vyama (+video)

on

Viongozi wa Vyama 10 vya Upinzani nchini akiwemo wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, Mwenyekiti wa CHAUMMA Hashim Rungwe, Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk.Vincent Mashinji leo January 11, 2019 wamerudi katika Mahakama Kuu ya Tanzania kwa ajili ya kesi yao ya kupinga Muswada wa Sheria ya Vyama vya Siasa.

RC MWANRI ATAWALA UJIO WA NDEGE MPYA “CHIKICHII CHIKICHI EEEH, BWIRE SOMA HIYO”

 

Soma na hizi

Tupia Comments