Top Stories

Mbeya watu wametaka kukimbia Mtaa, Mtoto wa Mama Ntilie aokoa jahazi (+video)

on

Mdau wa maendeleo kutoka katika Jiji la Mbeya Ndele Mwaselela leo ametoa mabati 48 na mifuko 20 ya Cement kwa Mtaa wa Katende Kata Iwambi kwa ajili ya kumalizia ujenzi wa Ofisi ya Serikali ya Mtaa ambayo ilikua changamoto katika Mtaa huo hali iliyopelekea wananchi kuhama mtaa na kumtumia Viongozi wa Mtaa mwingine ili kufanikisha shida zao kama barua za utambulisho wa Mtaa.

LIVE MAGAZETI: Wabunge CHADEMA, CCM watoana Jasho, Azimio la Bunge kwa CAG limekufa

Soma na hizi

Tupia Comments