Top Stories

Moto mkubwa wateketeza ghorofa la Mapadri, Vikosi vyaungana kuweza kuuzima (+video)

on

Usiku wa January 16, 2019  majira ya Saa tano usiku ilitolewa taarifa kuhusu moto kuteketeza nyumba ya Seminari Kuu ya Kanisa Katoliki iliyopo Segerea Jijini DSM.

AyoTV imemtafuta Kamanda wa Jeshi la Zimamoto Mkoa wa Ilala Elias Mugisha amesema kuwa taarifa walipata usiku na kufika eneo hilo na kufanikiwa kuuizma moto

TUKIO LA UGAIDI KENYA: RAIS MAGUFULI NA KENYATTA WAMEZUNGUMZA

Soma na hizi

Tupia Comments