Top Stories

Spika Ndugai afunguka kwa JPM matukio yaliyotikisa Bungeni, bundi kuingi, alarm kulia (+video)

on

Leo February 6, 2019 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amemueleza Rais Magufuli juu ya matukio mawili yaliyotikisa ndani ya Bunge, tukio la bundi kuonekana na king’ora kusikika.

“Jana Bungeni kulilia king’ora cha kuashiria moto, ndani ya muda mfupi ukumbi ulikuwa mtupu, ule upande wa Waziri Mkuu kulikuwa kweupe kumbe tuna wanariadha wengi Bungeni” Spika Ndugai

BREAKING: RAIS MAGUFULI AMPA DAWA YA BUNDI SPIKA, “TUMUOGOPE MUNGU”

Soma na hizi

Tupia Comments