Top Stories

CHANZO: Teja alichomoa betri gari likalipuka, Mume na mke wamebanwa” (+video)

on

“Nilifika hapa nikakuta gari imedondoka, watu walikuwa wamebanwa ambapo ni Dereva na Mwanamke, watu wakawa wanaiba mafuta, chanzo cha ajali teja aliiba betri, wakati anavuta gari ikalipuka” Shuhuda

BREAKING: LORI LA MAFUTA LAWAKA MOTO, WATU ZAIDI YA 50 WADAIWA KUFARIKI

Soma na hizi

Tupia Comments