Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Masonga amesema “Mdude amepatikana katika Kata ya Inyara Mkoani Mbeya, amepatikana usiku akiwa katika hali mbaya ingawa anajitambua na anazungumza kwa mbali, amepigwa sana na amevimba”.
MDUDE NYAGALI AZUNGUMZA AKIWA HOSPITALINI “NAPAMBANA KUTETEA ROHO YANGU”