Top Stories

DC Pangani “Msichukulie mambo poa, ukikamatwa na magendo utakuwa mfano” (+video)

on

Mkuu wa Wilaya ya Pangani Zainabu Issa amezindua kampeni maalumu iitwayo “NAKATA MINYORORO” kwa ajili ya kuthibiti biashara za magendo katika Wilaya hiyo na amewataka Viongozi na wananchi kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama kutokomeza jambo hilo.

Pia Mkuu wa Wilaya amewatahadharisha baadhi ya watu wanaohusika na kudai kuwa hakuna aliyejuu ya sheria na kwa yeyote atakaye kamatwa atachukuliwa hatua bila kujali wadhfa wake.

MWENYEKITI WA HALMASHAURI AHAMIA SIMBA YA MO “SITAKI MAUMIVU YANGA”

Soma na hizi

Tupia Comments