Rais Magufuli amezindua rasmi magari maalum ya kutolea huduma za Mahakama “Mobile Court”, magari hayo yatakuwa ni Mahakama zinazotembea, pia atazindua mfumo wa kisasa wa kutunzia kumbukumbu za Mahakama. >>>Tazama LIVE muda huu ndani ya AyoTV
LIVE: Rais Magufuli azindua Mahakama inayotembea ya Milioni 470

Leave a comment
Leave a comment