Top Stories

Mbowe na Matiko ‘wamekubali’ kusheherekea Krismasi na Mwaka Mpya Gerezani (+video)

on

Leo December 21, 2018 Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime mjini, Ester Matiko wamewatakiwa wanachama wao heri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka mpya.

Wawili hao wametoa heri hiyo katika Mahakama y a Hakimu Mkazi Kisutu mara baada ya kuahirishwa kwa kesi yao ya uchochezi inayowakabili na Viongozi wengine saba wa chama hicho.

Wakili wa Serikali, Wankyo Simon, amedai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri kuwa kesi imekuja kwa ajili ya kutajwa.

Mbowe na Matiko walivyotoa salamu Mahakamani, ulinzi wao usipime (+video)

Soma na hizi

Tupia Comments