Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Wilayani Babati Mkoani Manyara (BAWASA) imeiyomba Serikali kuwasaidi Jeshi la Polisi na Magereza kulipa madeni wanayodaiwa ya maji ikiwa jeshi la Polisi linadaiwa Milioni 51 huku Magereza wakidaiwa zaidi ya Milioni 170.
Akizungumza na AyoTV na millardayo.com Mkurugenzi BAWASA Iddi Msuya amesema madeni hayo yanakwamisha huduma kwa wateja wanaohitaji kuunganishiwa maji.
ZAIDI YA TRILIONI 1 ZITAJENGA BWAWA LA MAJI DODOMA