Top Stories

Liskie tu! vumbi la Kibondo, wenye Wilaya yao wamefunguka faida zake (+video)

on

Kibondo ni Wilaya inayopatikana katika Mkoa wa Kigoma AyoTV na millardayo.com zimefika katika Wilaya hiyo na kuzungumza na Wakazi wa Mji huo wengi wao hujishughulisha na Kilimo pamoja na Ufugaji, wamefunguka kuhusiana na Wilaya hiyo juu ya watu wanoibeza kuwa ni Wilaya ambayo haina maendeleo kwa sababu ya vumbi na matope.

Wanafunzi wa SAUT Mwanza kukosa Mikopo, tamko limetolewa (+video)

Soma na hizi

Tupia Comments