Habari za Mastaa

“‘Yeebaba’ ni yetu Mandojo na Domokaya sio ya Alikiba hajatuomba” (+video)

on

Janaury 8, 2019 Ishu ya King Alikiba kutumia slogan ya ‘YEEBABA’ imechukua headlines na hii baada ya Domokaya kusema yeye na Mandojo ndio waanzilishi wa msemo huo na wanashangaa alivyotumia bila kuwaomba au kuwataarifu.

SHOW YA KIBABE: MAUNO YA SHABIKI MBELE YA ALIKIBA ”MASOZI’

 

Soma na hizi

Tupia Comments