Top Stories

BREAKING: Watu wanne wamefariki, daladala ikiteketea kwa moto

on

Leo February 8, 2019 Ajali mbaya imetokea usiku huu eneo la Nyangoye Mkoani Kagera ambapo inaripotiwa kuwa Watu wanne wamefariki na juhudi za uokoaji bado zinaendelea.

Ajali imehusisha gari aina ya Toyota Hiace na gari kubwa aina ya Fuso. Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Kinawilo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo pamoja vifo.

Mbunge aliyehama CHADEMA kafunguka “Kuna vitu nimeviiba, walituma watu”

Soma na hizi

Tupia Comments