Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alisimama katika Kata ya Mahembe na kuzungumza na wananchi ambapo alizungumza mengi ikiwemo kuagiza Halmashauri hiyo kuhakikisha inakamilisha ujenzi wa kituo cha afya ambacho kilikuwa kimeanza kujengwa na kusimama kutokana na ufinyu wa bajeti.
WIZARA NANE ZATUA KIGOMA NA KUTOA TAMKO KWA WALIOVAMIA HIFADHI