Top Stories

Kiongozi wa dini amshauri JPM afute kamari “Hapa kazi sasa ni hapa kamari” (+video)

on

Leo January 23, 2019 Nakusogezea maneno ya Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mabohora Tanzania, Zainuddin Adamjee akiongea mbele ya Rais Magufuli leo Ikulu DSM akionyesha kukerwa kwake na michezo ya kubahatisha.

“Kwenye Biblia na Quran imeandikwa kamari ni haramu, lakini hapa TZ saivi Vijana wanacheza kamari kupitia Mitandao ukifungua TV unakuta matangazo, haya Makampuni wao ni hapa kamari tu, matatizo nguvu kazi yetu inacheza kamari” Zainuddin Adamjee

“Hapa Tanzania michezo hii imeenea na kauli yako ya Hapa kazi tu imekuwa hapa kamari tu”  Zainuddin Adamjee

Lulu kaibuka na mapya “Nimeamua kuuza nguo zangu nipate pesa”

Soma na hizi

Tupia Comments