Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Wagonjwa walivyofikishwa DSM kwa helicopter kutoka Moro (+video)

on

Waziri Mkuu Majaliwa tayari amewasili Mjini Morogoro leo August 11,2019 na amethibitisha kuwa Helcopter mbili tayari zimeondoka Morogoro kuelekea Muhimbili DSM, zikiwa na baadhi ya majeruhi walioungua kwa moto baada ya lori lililokuwa na shehena ya mafuta kupinduka na kisha kulipuka.

“TUMEPATA MSIBA MKUBWA, NATOA GARI BURE KWENDA MUHIMBILI” – MBUNGE ABOOD

Soma na hizi

Tupia Comments