Habari za Mastaa

Meneja aweka wazi ishu ya mbadala wa Mbalamwezi, waliobaki kufanya show kipweke (+video)

on

Ni siku kadhaa zimepita toka Msanii Mbalamwezi aliyekuwa akiunda The Mafic kufariki dunia na mazishi kufanyika DSM.

AyoTV na millardayo.com imezungumza Meneja wa Kundi hilo ambae kafunguka sababu zote za kufika Kigoma pia ishu kama wanatafuta mbadala wa Mbalamwezi.

AMBER RUTTY ARUDI KUSOMA KIINGEREZA ASEMA HAMFUATILII SHILOLE

Soma na hizi

Tupia Comments