Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Mbunge Milya awashukia Kinana na Makamba “mwacheni Rais afanye kazi” (+video)

on

Mbunge wa Simanjiro James Milya amekutana na waandishi wa habari nakumtaka aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM Kinana pamoja na Makamba kumuacha Rais Magufuli kufanya kazi nakuhoji kwa nini wanatumia nembo ya chama ili hali wakiwa wameshastaafu na kwamba hawana mamlaka ya kuhoji Serikali jinsi inavyoongozwa.

MAGUFULI AWASHANGAZA WATU AMGEUKIA BODI GADI WAKE, AMFANYA ATOE LAKI CASH

Soma na hizi

Tupia Comments