Top Stories

RC Makonda “nikikua nataka kuwa kama wewe Rais Magufuli” (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda amesema “Viongozi wa Dini naomba mniombee nataka nikiwa mkubwa niwe kama Wewe, hiyo ni ndoto yangu kabisa” 

“Hivi ulivyo Rais wetu angekuwa mwingine Watoto wake tungekuwa tunagombana nao Mtaani lakini Wewe umehakikisha hakuna anayeingilia jukumu lako kama Baba wa familia” RC Makonda

LIVE: RAIS MAGUFULI AKIIPOKEA NDEGE MPYA AIRBUS A220-300

Soma na hizi

Tupia Comments