Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo September 14, 2018, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Dakika 4 za Mbowe mbele ya Lowassa “tushindane kwa hoja, usitake nikusikilize wewe tu”