Top Stories

Kamanda Kenedy wa zimamoto kawafungukia Askari wanaozima moto (+video)

on

Jeshi la Zimamoto na uokoaji Kanda ya Kaskazini imekutana Jijini Tanga kwa lengo la kubadilishana uzoefu wa kazi katika maeneo yao ikiwa ni kujadili changamoto mbalimbali zinazo wakabili katika Vituo vyao vya kazi na jinsi ya kuzitatua kwa ajili ya kuongeza ufanisi katika kazi zao.

JAMAAA ‘HATARI’ AKAANGA YAI KWA KUTUMIA JUA, AITWA ‘TANZANIA DAY’ MAREKANI

Soma na hizi

Tupia Comments