Top Stories

Maagizo ya Rais Magufuli kwa Polisi, Ma-RC, Ma-DC “msiichalie mpaka walipe” (+video)

on

Rais Magufuli akiwa katika Kijiji cha Kibehe Wilayani Chato ambako wananchi wamelalamikia soko la zao la pamba, JPM amewaagiza viongozi wa Mikoa yote inayozalisha zao la pamba kusimamia vizuri soko la zao hilo na ameelekeza kuwa utaratibu wa kuingia mikataba na wanunuzi uwahusishe wanunuzi wengi badala ya kibali kutolewa kwa mnunuzi mmoja ili kuweka ushindani wa bei.

“VIJANA WANA-POST WAPO TAYARI KUMWAGA DAMU, MCHANJE NA KIWEMBE UONE”

Soma na hizi

Tupia Comments