Jeshi la Polisi limewatanywa Wanafunzi wa Chuo cha Ualimu Moshi zamani Mong’are kilichopo Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro ambao walifunga barabara na kuzuia shughuli nyingine za usafirishaji wakishinikiza serikali kuingilia kati sakata la utapeli wa zaidi ya Milioni 75 za malipo ya ada.