Premier Bet SwahiliFlix Ad Halotel Ad

Top Stories

Polisi wafyatua mabomu kutawanya Wanafunzi wanaodai Milioni 78 (+video)

on

Jeshi la Polisi limewatanywa Wanafunzi wa Chuo cha Ualimu Moshi zamani Mong’are kilichopo Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro ambao walifunga barabara na kuzuia shughuli nyingine za usafirishaji wakishinikiza serikali kuingilia kati sakata la utapeli wa zaidi ya Milioni 75 za malipo ya ada.

PART 1: MAISHA YA MAPENZI YA MUGABE, MKE WA KWANZA ALIEKIMBIA NCHI YAO KISA MUGABE

Soma na hizi

Tupia Comments