Top Stories

DC azungumza baada ya kupokea Bilioni 1.5 “nimefunga taa ili tukeshe” (+video)

on

Mkuu wa Wilaya Karagwe Godfrey Mheruka ambaye ali-make headline baada ya Rais Magufuli kumtaja na kumpongeza katika mkutano wa hadhara kuwa alipotea porini wakati akiendesha operesheni ya kuondoa wafugaji, leo ameibuka baada ya Wilaya yake kupewa Bilioni 1.5 na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ambapo yeye ndo Mwenyekiti wa usimamizi wa ujenzi huo.

KESI YA WATOROSHA DHAHABU NA ASKARI WALIOTAKA RUSHWA BILIONI 1 MAHAKAMANI TENA

Soma na hizi

Tupia Comments